1. Tathmini chanzo cha mgogoro katika wa ushairi wa Kiswahili. (alama 30) 2. Kwa kutoa mifano, fafanua mikondo ifuatayo ya ushairi wa Kiswahili. Ukawafi WajiWaji Wawe Kimai Sama (alama 20) 3. Katika Sauti ya Dhiki, mwandishi anatetea haki. Jadili kauli hii kwa kurejelea mifano ya ushairi wa Abdilatiff Abdalla . (alama 20) 4. Utenzi wa MwanaKupona hauafikiani na mtazamo wa kisasa kumhusu mwanamke. Jadili (alama 20) 5. Tathmini mashairi ya Shaaban Robert upande wa dhamira. (alama 20) 2