1. Kwa kutumia mifano mwafaka fafanua mitazamo mbalimbali kuhusu dhana ya fonimu (alama 30) 2. Jadili mbinu amabzo hutumiwa na wanaisimu kutambua fonimu na alofoni. Toa mifano ifaayo. (alama 20) 3. Fafanua dhana za Uchopekaji na Udondoshaji katika lugha ya Kiswahili. Toa mifano ya mifanyiko hiyo. (alama 20) 4. Ainisha silabi zipatikanazo katika lugha ya Kiswahili (alama 20) 5. a) Eleza dhana zifuatazo Kiimbo (alama 5) Toni (alama 5) b) Eleza muktadha ambao dhana hizo huweza kupata sifa ya ufonimu kwa kutoa mifano katika lugha mbalimbali.(alama10) 2