1. Kwa kurejelea mchango wa wataalam mbalimbali, chunguza kuzuka na kukua kwa Isimu Historia. (alama 30) 2. Jadili nadharia za Isimu Historia zifuatazo i)Nadharia ya uchakavu wa lugha ii) Nadharia ya mshikamano wa kijamii. (alama20) 3. Bainisha vigezo vifuatavyo vya kuainisha lugha: (alama 20) a) Uainishaji wa kimuundo b) Uainishaji wa kinasaba 4. Ukitumia mifano mwafaka, eleza sababu tano za mabadiliko katika lugha. (alama 20) 5. Kwa kutumia mchoro wa kinasaba, hakiki nadharia kuwa Kiswahili ni kizazi cha jamii lugha za Mame-Benue-Kongo. (alama 20) 2